HILI BOMA NA KIWANJA LIMESHUKA BEI HAPA MBEZI MSAKUZI MWISHO
Ni Kiwanja chenye Boma la vyumba 2 sasa MILIONI 14 TU!
π Location: Mbezi Msakuzi
β Dakika chache tu kwa miguu kutoka daladala zinapogeuzia
β Nauli ni Tsh 700 tu kutoka Mbezi mwisho hadi site
π Ukubwa wa Kiwanja: 20x23 (460 sqm)
π Hili Boma lina:
β Vyumba 2 (Master 1 + Chumba 1 cha kawaida)
β Sebule kubwa sana
β Jiko + Baraza mbele na nyuma
β Public toilet
β Shimo la choo lipo (limejengewa, kubaki kufunika tu)
Mtaa mzuri,uliojengwa vizuri
π Hati: Sales Agreement (Mkataba wa Mauziano)
π Wasiliana sasa: 0675 065906