Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Mnaniangusha makamanda. Umbea huu waachieni mademu zenu bana [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mkuu kuna siri kubwa sana kwa hawa wasanii ,ukijua hautoumiza kichwa hata ukimkuta Domo ana Hummer H2 kama la 50 cent au Benz la mil 600 kama la bakharesa!!!!! Kwanza ile X5 nyeusi kashamaliza deni?...
Kusema maigizo ya wasanii ndio umbea mkuu? Hivi uliona marehemu kanumba mambo yalivyokuja kuwa wazi? Alikuwa hana hata kiwanja cha miguu 15 kwa 20 halafu kwa nje alikuwa na Ma prado party za hatari,enzi zile 2009-2012 viwanja vilikuwa bei rihisi sana.Mnaniangusha makamanda. Umbea huu waachieni mademu zenu bana [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Unaweza kunifafanulia hiyo clearance na 4wd?Kwani unampango wa kuifungia jembe ilime mkuu?
We angalia ground clearance na 4WD, mengine ni mbwembwe tu!
Wasanii sijui wanakwama wapiKusema maigizo ya wasanii ndio umbea mkuu? Hivi uliona marehemu kanumba mambo yalivyokuja kuwa wazi? Alikuwa hana hata kiwanja cha miguu 15 kwa 20 halafu kwa nje alikuwa na Ma prado party za hatari,enzi zile 2009-2012 viwanja vilikuwa bei rihisi sana.
Utatoboa sasa! Sisi ngoja tuendelee kula maandazi tu hapa ushirombo, karibuniduh aisee bwana weee yani Kodi wanachukua almost 73 Milion atuwezi kutoboa kwa utawala huu
Mimi huwa nashangaa sana kusikia mtu anatetea hii serikali ya tanzania, ukweli ni kwamba serikali inasababisha pakubwa sana ugumu wa maisha, hayo makodi yamekuwa yakitajwa kuwa makubwa sana kwenye kila eneo la maisha ya kila siku ya mtanzania, (sio kwenye magari tu).Hiyo 109 hapo ni pamoja na kodi au bado hujalipa kodi?. Maana kwa Tz kodi ndio ununuzi wa gari lenyewe,achilia mbali ununuzi wa gari Japan na usafirishaji wake. Hizi gari zozote kwa wamalawi na zambia ni kama kuokota tu. Kodi iko chini kabisa,jiulize hapo hawana bandari. Sisi wenye bandari ni kama wakimbizi ndani ya nchi yetu kwa kodi za ajabu
Huyo jamaa ana shida, anawezaje kutafuta gari ya shilingi millioni 100 plus halafu hajui kama kuna kikokotoo cha tra hapo BeForward ?.Ingia kwenye website ya TRA wana sehemu ya kukokotoa kodi ya gari
Jibu nimelipata kudadekiiiii hiii nnchi yani kodi sawa nagari [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]habari wadau?
Katika kuperuzi kwenye site mbalimbali zauuzaji wa magari online nimekutana nahizi gari za wakubwa Toyota land cruiser V8 model ya 2017
Befoward wanataka kiasi cha pesa ML:109 na cent zake iliwakutumia hii gari je hapa kwetu Tanzania hawajamaa Kodi inaweza kukadiliwa kiasi gani? View attachment 1603807
Hio Ni surf sio Fortunerhapo sipingi maana muwonekano wake ni kama ivo. toyotahilux yenyewe zinazid kuwa modernized kuwa mashine haswa
Kusema maigizo ya wasanii ndio umbea mkuu? Hivi uliona marehemu kanumba mambo yalivyokuja kuwa wazi? Alikuwa hana hata kiwanja cha miguu 15 kwa 20 halafu kwa nje alikuwa na Ma prado party za hatari,enzi zile 2009-2012 viwanja vilikuwa bei rihisi sana.
Sawa mkuu nimekupata!! Naheshimu mawazo yako!Mkuu mtazamo unatofautiana ndugu,,usifikiri kila mtu kwake kipaumbele ni ardhi na mashamba au nyumba wengine vipaumbele vyao biashara kwanza na magari halafu baadae ndo unakuta ana nunua hayo mashamba na viwanja.
Kanumba alikua na magari zaidi ya mawili na kampuni lakinaliishi kwenye nyumba amabayo alikua analipa pesa si chini ya laki kamakodi unataka kuniambia alishindwa kujenga nyumba angalau ya milioni 20? Au kuwa na kiwanja cha milioni 3?
Mfano mwinginekwa sasa huyu Diamond ana kampuni ambayo ina media na lebo ndani yake ,pia mwanamuziki na biashara zingine tusizozijua ana magari ya bei ndefu kwa pesa ya kibongo(hata kama ni ya mkopo) lakini amepanga jumba la kifahari usidhani kama labda hana nyumba au anashindwa kujenga nyumba ya milioni hata 50 bali mtu ana mipango yake.
Mfano wa mwisho mimi mwenyewe hapa sina mawazo kabisa ya kujenga lakini nina bishara ambayo nikigeuza kuwa kiwanja na pesa naweza jenga nyumba hata milioni 15M hivyo tuheshimu mitazamo na maisha ya watu wengine tuache kufuata ya mitandao.
Duuu sio mchezo mkuu unasearch kununua gari ya milioni 200? Au mwenzetu upo Forever Living au Forex kama Ontario?
Kumiliki na kuendesha biashara ni kipaji ambacho si kila mtu anacho.Hata mimi nimejiuliza aisee.
Maana milioni 200 unaweza kuanzisha bonge la biashara ukatamba mjini au kwa mimi naweza kuanzisha hata kiwanda asikwambie mtu.
mkuu upo?Hajui kwamba ile nyumba anayokaa kule mbezi si yake kapanga. Wasanii ni wazuri wa kuigiza maisha...
mkuu upo?
Safi, jamaa kavuta mnyama RR, unazungumziaje? 🙂Nipo mtaalamu mambo vipi?
Safi, jamaa kavuta mnyama RR, unazungumziaje? 🙂