100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 4,766 Reaction score 16,191 Aug 28, 2021 #81 Gallius said: Gari ni mali ya kampuni si la kwake lile? Click to expand... Thanks!! Hio kampuni bosi ni nani?
Gallius said: Gari ni mali ya kampuni si la kwake lile? Click to expand... Thanks!! Hio kampuni bosi ni nani?
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,998 Reaction score 8,339 Aug 28, 2021 #82 and 100 others said: Thanks!! Hio kampuni bosi ni nani? Click to expand... Diamond ni jina tu pale hana chake mtaalamu…
and 100 others said: Thanks!! Hio kampuni bosi ni nani? Click to expand... Diamond ni jina tu pale hana chake mtaalamu…
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 4,766 Reaction score 16,191 Aug 28, 2021 #83 Gallius said: Diamond ni jina tu pale hana chake mtaalamu… Click to expand... Sawa!!! Kwa hio bosi halisi ni nani? 🙂
Gallius said: Diamond ni jina tu pale hana chake mtaalamu… Click to expand... Sawa!!! Kwa hio bosi halisi ni nani? 🙂
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 4,766 Reaction score 16,191 Aug 28, 2021 #84 Gallius said: Diamond ni jina tu pale hana chake mtaalamu… Click to expand... Heheheheeehhh!!!! Mi naona jamaa uwezo wa kumiliki ile RR ni mkubwa... na ile ni pesa yake... huwezi jua amejichanga kwa muda gani kumiliki gari ya ndoto zake...
Gallius said: Diamond ni jina tu pale hana chake mtaalamu… Click to expand... Heheheheeehhh!!!! Mi naona jamaa uwezo wa kumiliki ile RR ni mkubwa... na ile ni pesa yake... huwezi jua amejichanga kwa muda gani kumiliki gari ya ndoto zake...