Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Leo kwa vile ilikuwa jumapili nilikuwa na muda nikaamua kwenda kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. Nilichokiona kama ningedadisi kabla ningerudi zangu nyumbani maana huu ni ujinga na uwenda wazimu. Yaani mtu unataja jina lako na tarehe ya kuzaliwa na unasaini basi umemaliza na kurudi nyumbani?
Kumbukuzi zetu za nyuma ni kwamba zoezi hili lilikuwa linafanyika kwa kutumia technolojia. Zamani ukifika ulikuwa unaulizwa kadi yako uliyotumia kupigia kura msimu uliopita, wanaichukua na kuingiza namba za hiyo kadi kwenye mfumo alafu taaarifa zako zote zinajileta unachotakiwa kufanya ni kubadilisha picha kwa kupiga picha mpya alafu unaprintiwa kadi mpya na kumaliza zoezi.
Kwa wale ambao kwa uchaguzi huu ndo wanafikia umri wa miaka 18 na kuwa na sifa ya kupiga kura ndo uingiziwa taarifa mpya na kutengenezewa kadi mpya.
Soma Pia:
Sasa kwa nilichokiona cha kuandika kwa mkono jina tu na sahihi ambapo mtu anaweza kujitengenezea majina hata million 20 na sahihi za kughushi hawaoni ni dalili tosha ya sintofahamu ya kuchakachua matokeo halali ya wapiga kura?

- Daftari la wapiga kura na kitambulisho kimoja tu cha kura ni urasimu unaopunguza wapiga kura na kufifisha demokrasia
- Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
- Kwanini uandikishaji wa wapiga kura serikali za mitaa unafanyika kwenye makaratsi na siyo kidigitali? Ulinzi wa taarifa unahakikishwaje?