Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Hili gari limeonekana kwenye msafara wa Rais Samia, kwa wale wajuzi wanaweza kufafanua umuhimu wake kwenye msafara wa Rais?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂🤣🤣😂😂Tanzania Wajinga Ni WengiMbona hata Shabiby na Kimbinyiko zina vyoo?
Baba yake na Rais Assad wa Syria alikuwa na ziara ufaransa, waisrael wakajua hotel na chumba atakachofikia, wakafanya manuva wakapata kinyesi chake, wakafanya analysis ya kimaabara, wakajua ana kansa, na wakajua anaweza kufa lini.
Mambo ya kiza ni mengi, ila wewe unajua jua ni la kuanikia nguo tu, na usiku ni wa kulala tu
Mkwara,Hili gari limeonekana kwenye msafara wa Rais Samia, kwa wale wajuzi wanaweza kufafanua umuhimu wake kwenye msafara wa Rais?
View attachment 3047817
Kazi yake kubeba mimavi maviHili gari limeonekana kwenye msafara wa Rais Samia, kwa wale wajuzi wanaweza kufafanua umuhimu wake kwenye msafara wa Rais?
View attachment 3047817