Hili gari kwenye msafara wa Rais Samia lina kazi gani?

Mbona hata Shabiby na Kimbinyiko zina vyoo?

Baba yake na Rais Assad wa Syria alikuwa na ziara ufaransa, waisrael wakajua hotel na chumba atakachofikia, wakafanya manuva wakapata kinyesi chake, wakafanya analysis ya kimaabara, wakajua ana kansa, na wakajua anaweza kufa lini.

Mambo ya kiza ni mengi, ila wewe unajua jua ni la kuanikia nguo tu, na usiku ni wa kulala tu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚Tanzania Wajinga Ni Wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…