Hili gauni la Beyonce!

Macho yako hayadanganyi ni kweli anatisha pharaoh sio pharaoh yaan
 
Mastaa huko nchi za wenzetu wakipigwa mimba huzaa,mastaa bongo wakipigwa mimba wanazichoropoa na wakifia muda wa kutaka kuzaa hawapati mimba na kukimbilia kwa waganga wa kienyeji bila mafanikio.
 
sasa unategemea wasiwe illluminati? angalia tu mienendo yao,ina potray ushetani kabisa.hata majina ya watoto wao,daah yan i wish ungejua Dinah
Yaan hilo gauni mmmmh litakuwa na maana nyingi sanaa na style aliyovaa
 
sasa unategemea wasiwe illluminati? angalia tu mienendo yao,ina potray ushetani kabisa.hata majina ya watoto wao,daah yan i wish ungejua Dinah
Mkuu fafanua kidogo kama hutajali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…