Hili geto unalijua?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Hili geto kuna mida fulani kama ungefanikiwa kuingia ndani na kuiba, basi ungekuwa bilionea.

Uzi wa Toka mwaka Jana watu hawakuulizia nn kilikuwemo... Mleta Uzi tuambie humo getho kilikuwa na nini..?
 
Uzi wa Toka mwaka Jana watu hawakuulizia nn kilikuwemo... Mleta Uzi tuambie humo getho kilikuwa na nini..?
Kulikuwa na dhahabu tani kadhaa humo.
Tuliingia mimi na washkaji wangu tukachukua kilo kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…