Hili goli lina nini cha ziada mpaka kuzungumzwa kiasi hiki?

World cup ni sehemu ya kufanya maajabu. Hili ni miongoni mwa maajabu hayo. Huyu Mwamba kaweka historia yake na atakumbukwa Kwa hili. Tafuta mikanda yote ya magoli ya world cup, hutaona goli la Aina hii. Makasirio, makisio, malengo, ni ya kiwango cha kipekee kabisa katika tukio hili ambalo katika akili ya kawaida Hakuna Mwalimu wa mpira atamfundisha mshambuliaji wake kufanya alichofanya Mwamba. Ukisikia Mtu katumia akili zake na siyo akili za darasani ndo kama hivi.
 
Ngoja nikaliangalie kwanza,maana jana sikuangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…