Hili hapa Tairi aina mpya "solid tyre"

Hili hapa Tairi aina mpya "solid tyre"

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Tuchanuane.

What are the disadvantages of these solid tyres compared to pneumatic ones.

Kama haujui pia sema tu haujui.

FB_IMG_16802349472209724.jpg
 
Nahisi itakuwa hasara kwa wauzaji/manufactures kwa sababu kiwango cha mpira kitakacho tupwa ni kikubwa baada ya tairi kuwa kipara. Unless bei yake iwe ghali kufidia hapo
Screenshot_20230331-071109.png
 
Daah aina mpya wapi mkuu solid rubber tire zipo miaka na miaka si hizo zingine zinatumika kwenye matolori,mitambo ya migodini inayobeba vitu visizo nadhani yapo sehemu nyingi hata hapa kwetu...kwenye gari haziwezi kutumika zinaongeza uzito kwa hiyo zitapunguza mwendokasi wa gari na pia baadhi ya ndege za mizigo mizito wanaweka hizo tairi, Baiskeli na vitu vingine vingi tuu na ni tairi ghali kuliko hizi zingine...
 
Back
Top Bottom