Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Hahahaha mbona wengi walionalo sio wavuta bangiHili tatizo huchangiwa sana na Bangi mzubao ambayo bado ipo 3G, na hii ndo inayopigwa marufuku hapa nchini.
Unajua tiba yakeHata mashine huwaga zinazidiwa na kazi seuze ubongo wa binadamu, hilo sio tatizo ila linasababishwa na kufanya kazi nyingi au kuwa na mambo mengi kwa wakati, ambapo hupelekea kutoconcern katika yote au mojawapo, hii ndio hupelekea kutojua umaana au dhumuni ya kimojawapo kati ya mambo yaliyopo current.
Hapana, sielewiUnajua tiba yake
Ohoooo!!!Hili tatizo huchangiwa sana na Bangi mzubao ambayo bado ipo 3G, na hii ndo inayopigwa marufuku hapa nchini.
Ndiyo ni ugonjwa, unasababishwa na matumizi ya dawa za kulevya kwa muda mrefuIle tabia ya ubongo kutokufanya vitu kwa wakati mfano.
Mtu anakwambia kitu unakuja kumwelewa badae Sana.
Mtu anaongea jambo la kuchekesha kwa wakati huo hata hucheki unakuja kugudua badae na kucheka.
Yapo matukio mengi unakuta ubongo unayatafsiri wakati ambao yanakuwa yashapitw na wakati
Hili ni tatizo gani wadau
Wafanyie counseling utagundua wanatumia ama waliwahi kutumia.Hahahaha mbona wengi walionalo sio wavuta bangi
Kwani gari unaweza piga horn lije kurespond after ten minutesio ugonjwa mkuu hiyo ni kawaida na inategemea mtu na mtu
ni sawa tu na magari maana kuna mengine yana speed kubwa kama hii Hennessey Venom GT supercar inatembea mpaka 435.31 km/h
na kuna matrekta pia