Najuta Kukufahamu
Member
- Feb 29, 2012
- 54
- 17
unafanya kazi wapi na kazi yako inahusu nn? ili niweze kukupa ideas zinazoendana na ur job.....f u dnt mind.
Ni muajiriwa wa serikali na ni PR
hapo ktk black unataka tukuhisi kuwa unatafuta sugar mamy/dady!!?😛hoto:Born 15.8.1990
nimeajiriwa na serikali, mshahara wangu ni zaidi ya $800..nataka kufungua biashara ambayo ni simple but very smart ambayo haita niboa na kunikera wala kunichosha...nimewaza na kutafakari kua biashara ya muziki itaendana na mimi..nimetafakari kwakina outcomes na binafsi nimejiridhisha, je! INALIPAA?? maana nilifungua grocery nikazitundika bia zote..msaada wajameni!!
nimeweka hiyo purposely ili mjue aina ya mtu na umri na ideaya biashara ninayoitaka..
Sikuona umuhimu wa kuweka umri wako katika thread hii, anyway wapo watakuja kukushauri.
hapo ktk black unataka tukuhisi kuwa unatafuta sugar mamy/dady!!?😛hoto: