Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,134
Wakuu kunaMwanamke ana mtoto na ananyonyesha na bado mtoto bado hajaanza kutembea ila anatambaa na kunyanyukia vitu
Sasa nikitaka Kufanyanya naye tendo la ndoa anadai kwamba lazima nitumie mpira kwamaana mtoto bado ananyonya!! Sasa hapa napata maswali kichwani
, kwanza kama mama ananyonyesha hapaswi 'kufanya tendo la ngono bila Kondom"?
Pili; Kuna uhusiano gani kati ya tendo la ndoa na ziwa?
Tatu; Kuna madhara yapi kwa mama au mtoto kama ananyonyesha na nikafanya tendo la ndoa bila condom?
Nawasilisha