Hili jambo lipoje, kuna madhara ndani yake?

kama unauhakika mtoto ni wako no problem hawez dhurika coz anaposses genes zako pia... ila kama mtoto si wako au huna uhakika kama ni wako usijaribu kugegeda dry utamsababishia autism hyo mtoto
 
Nimeumia utadhani ni mimi nachapiwa aisee. Dah!! Mke wa mtu, mtoto ananyonya, babake yupo hai. Unaenda kugawa vitu ati kwa kuwa jamaa kavaa ndomu. Inaumizaaa!!! Natamani nimuone huyo mwanamke akitoka kwako nipige yowe wamama wenzake wamkanye. Hizi laana hizi. Ndo maana mvua zimegoma mnamsingizia mtu wa watu buuuure. Mnachuma midhambi tu. Sasa, fikiria kitoto mnakiweka wapi mnapo mbemenda??
 
NIMEITOA FACEBOOK GROUP LA TANASSUR ISLAMIC DAAWA.
ASSALAMU ALYKUM .
MAADA Ubaya wa zinaa.
Kwanza natanguliza samahani kwachelewesha muendelezo wa maada yetu kutoka na hali za kuangaikaa kutafutaa maisha ambayo allah ameyalizia.
EWE NDUGU YANGU MUISLAMU NAKUOMBA UFUATANE NAMI HADI MWISHO HAPA NDIPO TUNAANZA KUELEZE UBAYA HASWA WA ZINAA.
Tuliishia baada ya kujua kazi ya chromosomes ..ok now tunakwenda kuchambua kazi ya zile sehemu zilizobakia .
2.ACID.
Ndani ya manii (mbegu za kuime )zipo acid na ndani ya mbegu za kike zipo base .
MATUMIZI YA ACID .
kitaaalamu acid inatumikaa kunutrolized basi ili baadhi ya chemical ziweze kuondoka pia ACID hutumikaa kuchakaza na kulegezaa vitu vilivyo vigumu ....
Manii ya mwanume ambayo inabeba acid inafikaa ndani ya mfumo wa uzazi wa mwanamke huwezaa kulainishaa viungo vya mwanamke kwa umakini kabisaa hapa tunajifunza kitu kwaumbo la mwanamke na maumbilee yakee lazima awe ni mlaini hatuhitaji kumuona mwanamke yupo ngangalii kama mwanaumee utofauti huu ni kwa sababu hubeba acid za mwanaume ..JE wew unazini na wanaume zaidi ya mmoja unabeba acidi kiasi gani na huwa ni chemical tofautii so hapo mwanamke lazima uwe unatokwa na harufu mbaya tu .

Kumbukaa acidi inafika ndani ya mwili wa mwanamke huendaa kwenye chanzo cha mfumo wa mbegu za mwanamke yaani (breasst ) kifuani na hapo kumbukaa kuna maziwa ...na maziwa yakiingia acid huweza kuchacha na kuharibikaa ilisipokuwa maziwa hayo yatakuwa sawa endapo yatapokea acidi ya aina moja na hiiyo lhutopata mpaka uwe na mume mmoja tu ndio maana hakuna ndoa ya mwanamke mmoja wanaume wawili allah s.w aliwekaa maana harisi hapo katikaa ndoa .
NB; kama mama ana mtoto mdogo ananyonya basi hatuna budi baba kumlinda mwanaee juu ya malezi yakunyonya hii kwasababu acidi za baba huenda kuchachisha maziwa ya mama na mtoto akinyonya maziwa hayoo huwa ananyonya mchanganyika wa maziwa na acidi za baba yake ...na hapo mtoto huzohofikaa sana ([KUBEMENDA )))
(A) .kuna uhafadhali kwa mtoto mdogo kunyonya maziwa ya mama ambayo yanamchanganyiko wa acidi za baba ..mtoto akinywa sana mazara huwa makubwa hakinywa kidogo kutokana na kiasi cha baba kumlinda mtoto mazara huwa madogo.
B. kuna hatari kubwa sana na hupelekea kifo kwa mtoto kunyonya ACIDI ambazo sio za bana yake akinyonya tu ziwe kidogo au nyingi mtoto atazohoofu mpaka umautu unamkuta kwa kuwa hawezi kukabiliana na ACIDI wa aina tofauti zaidi ya wazazi.
C. Ndio maana wale wanaume wanaongiliwa lazima walegee pindi wakishaanza laana zaoo allah awapee adhabu kali ..lakini kutokana na ACIDI
wanazowekwa .
Naamu huo ndio mfumo wa mzima na matumizi ya ACIDI tukurudi kwa dalili za allah s.w.na mtumee wake .tumeambiwa waislamu "[HASHTAG]#mwizi[/HASHTAG] huwa ni [HASHTAG]#mwanaume[/HASHTAG] na [HASHTAG]#mzinifu[/HASHTAG] huwa ni [HASHTAG]#mwanamke[/HASHTAG] "
Hii kwamaana mazara makubwa ya zinaa yanampta mwanamke ..mwanamke ndio anaanza kuathirikaa katika zinaa .
3.VIRUSES....
..Itandaendelea .....……………inshallah
KUMBUKA KUSHARE NA KULIKE ILI WAISLAMU WENZETU WAPATE JUA ZINAA IMEKATAZWA KWA LENGO LIPI .......pia musisite kuuliza maswali ....na usikose muendelezo wa maada ya virus hapo ndipo tunapata mmaana ya zinaa ni uchafu mkubwa sana .
WABILLAH TAWFIQH.
Imeandaliwa na ;
ENG;Sady mkima .
P.O.BOX 254621.
DSM.
+249129790575
khartoum sudan

https://www.facebook.com/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…