Eti wanaume walevi wengi wao hukojoa kitandani wakati wamelala na ulevi wao?
Nimepeia kwenye kijiwe kimoja hapa K/ndoni B nikakuta madereva taxi wanapeana changamoto juu ya swala hili!!!
Wana JF hili jambo lina ukweli wowote?
Na kama ni kweli waliopo kwenye ndoa wana lihandle vip hili suala?