Hili JENEZA kiboko, unapaa kwenda chini...

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,529
Reaction score
198


Wenzetu Ghana wamekuwa wabunifu, unazikwa kwenye Ndege....

Source:BBC.
 
marehemu labda alikuwa rubani....ukiwa mvuvi...wanatengeneza shape ya samaki....ukiwa driver ni gari.......nk
 
sasa sijui sisi mabeki tatu tunamuvuzishwaje
 
Mbona haionyeshi kama ni jeneza mi naona kama ni toy tu
 
sasa sijui sisi mabeki tatu tunamuvuzishwaje

Mtatengenezewa shepu ya sufuria au beseni. Lakini wewe sio beki tatu Preta, u r kidding. Au unawasemea kama mbunge wao? Maana siku hizi kila kundi linadai liwe na mbunge wake. Me nimeshaanza kuhamasisha vinyozi wenzangu, tudai mbungewetu kwenye uchaguzi wa 2015.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…