Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti kielimu kati yao na sisi ilikua kubwa sana. Ndiyo maana waliweza kutengeneza mikataba mibovu na kujitwalia ardhi yetu kwa viooWakati huo mababu zetu waliishi kwenye maisha ya hovyo sana, wengine hata walikua wanaishi maporini, tukubali tusikubali ukweli wazungu walitusaidia sana kutuletea haya tunayoyaona leo huku, reli, umeme na kadhalika.
Vipi leo tumewafikia kielimu? Leo hii bila mzungu kuja akuambie wapi iliko gesi kwenye ardhi yako utaishia kulima mihogo.Tofauti kielimu kati yao na sisi ilikua kubwa sana. Ndiyo maana waliweza kutengeneza mikataba mibovu na kujitwalia ardhi yetu kwa vioo