Hili jibu nimechoka kabisa.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Hawa wapemba bwana na migahawa yao. Nimeagiza msosi kwa mpemba mmoja hapa town. Mletaji ameleta msosi na akawa hajaweka samaki.

Nikamuita mara ya pili kumkumbusha kuwa niliagiza na samaki. Akasema anakumbuka. Anakuja.

Kweli baada ya dakika akawa anakuja amemshika samaki mkononi. Nlichukia sana. Nikamuuliza kwanini anakuja amemshika samaki mkononi.

Akawa mkali na kujibu " unafoka nini sasa? We ulitaka nimdondoshe tena kama mara ya kwanza?"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF never boring. Khaaah
 
Chai ya alasiri japo wapemba kwa uchafu hawajambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…