Hili jiji ni balaa

Mbona kawaida hiyo

Hayo ndiyo maendeleo

Kizazi kipya hicho cha burdan

Ajira nje nje

Ova
 
[emoji1]

Na ikipigwa singeli amapiano misomisondo chupa lazima zikaliwe
Wanaingiza hadi mtaroni

Ova
 
[emoji1]

Na ikipigwa singeli amapiano misomisondo chupa lazima zikaliwe
Wanaingiza hadi mtaroni

Ova
Acha tu yaani full laana ile ile, wahuni wapo. Hawapoi hawaboi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸš¬πŸš¬πŸš¬πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 
Sio Dar tu hata Dodoma mitaa ya NBC vuka barabara uwe kama unaitafuta Taratara nyuma ya tango bar ile bararara yoote watu wananyanduana live bila hata kujibanza ukutani, wala vpn haitumiki ni macho yako na nguvu yako ya miguu kusimama mda mrefu kushuhudia mtanange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…