Hawana akiliYaani hata nyuzi zinazoletwa na Utopolo huwa ni za ajabu ajabu tuuu..
Yote mazuriMBUMBUMBU/MAKOLOKOLO/MALALAMIKO/MAKELELE litapendeza zaidi [emoji1787]
Huyu ndo huwa haeleweki kabisaYaani hata nyuzi zinazoletwa na Utopolo huwa ni za ajabu ajabu tuuu..
tatizo la ninyi ni wazee wa fantasy badalaa ya kucheza na uhalisia wa footballSi bado wanatumia jina hili kama kejeli, siku tukianza kuwalima msibadilishe kauli zenu, eti eh wana nunua mechi au wana roga sana.
Kuna majina yanakuja na baraka zake. Kama hili la wala mihogo, ni jina kwanza la heshima, pia la ubabe na lenye asili ya Kiafrika.
Tunaanza kulima wenzenu huko Tunisia tariki 9, halafu ninyi wengine mkutwe mkimwagilia maji ardhini ili jembe likalime muhogo vizuri.