Ulituweza wambea[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaa.. Nawekaga initial tu sijawahi taja jina langu lote.
Hahahahahaaa.Ulituweza wambea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena nimekumbuka Nina kesi na wewe.Ulituweza wambea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamna jina kama hilo kwa WakatolikiUnaitwa NDUMBAGWE
Some how, coz hata mtaan kwetu yupo, japo hana sura ila anatisha kwa skendo zakeRACHEL(Recho), popote utakapopita ukiskia dada anaitwa we recho geuka umwangalie nakwambia hautojuta kugeuza shingo yako wanakuaga wazuri ni balaa hata kama sio uzuri wa sura basi kuna mvuto flani wa mapenzi atakuanao piga ua na wala sio wa choyo..
Outwe unaitwa NANCY
Jamani ipi tena hiyo njoo chemba unihukumuTena nimekumbuka Nina kesi na wewe.
Hapa napa na mimi nataka kujua.. ila kwa jinsi ninavyowaona ni..Kama wewe ni bingwa wa kufuatilia majina ya watu hebu wafuatilie hawa akina VERONICA.
Njoo wewe maana mi siwezi kuingia pm mamaJamani ipi tena hiyo njoo chemba unihukumu
Hapana. Na ukipatia ntakwambiabasi Salome
OkNjoo wewe maana mi siwezi kuingia pm mama
Nasubiri tu ili nikasachi mahali[emoji12] [emoji12]Hapana. Na ukipatia ntakwambia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasubiri tu ili nikasachi mahali[emoji12] [emoji12]
Endelea kuota mkuusasa nipe herufi ya mwanzo na ya mwisho nikumalizie