Njoo pm nkuonyeshe ilipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pm ndo wapi huko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pm ipo mkoa gani vile?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoo pm nkuonyeshe ilipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikufa tu na kamba shingoniaisee wanagawa sanaaa ila tunawapenda hivyo hivyo yan
Mkoa huuhuu wa jf[emoji23][emoji23]Pm ipo mkoa gani vile?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tupite tu kimya kimyaTusioitwa kina raheli tunakomenti wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha haaaUmenifanya niifikirie jinsia yako mara mbilimbili
Umeona eeh!!Ha ha haaa
Hawa ndo wale nna rafiki yangu mzuri kweli ntakulea
Napajua hapo mbali...Mkuu, nimekumbuka mbali sana...[emoji55] [emoji55]
Alitumikia miaka 7 ya pili lakini akiwa anaishi naye baada ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia alikaa na yule siku 7 kisha akapewa Raheli kwahiyo alikuwa anatumikia miaka 7 huku anaishi nayeIla Jacob hakuwa wa mchezo aisee!
Kuna wakati namuwazia bila kupata majibu.
Miaka 7 + 7 = tena hapo hakuwahi hata kumla kabla ya ndoa!
Only God knows
Ndiyo wanaoolewa kwanza, wale wasiotulia ndiyo huolewa na wanaume wamaana kuzidi[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Pia japokuwa tunawatafsiri akina Raheli vibaya ila hawachelewi kuolewa na hugombaniwa sana na vidume.
Sawa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkoa huuhuu wa jf[emoji23][emoji23]
Kuna mmoja tulisoma nae chuo alikua na bozimba la haja...mumewe anafaidi tuuaisee wanagawa sanaaa ila tunawapenda hivyo hivyo yan
Tena Biblia inasema Rachel(Raheli) alikuwa mzuri sana na mwenye macho ya kuvutia na umbo zuri sana kiasi Jacob akapagawa kwa uzuri wa Rachel, tena hakuwa mzuri tu bali alikuwa "bikira" pia, soma MWANZO 29:17-18