Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Kumbe mpenz unaitwa VeronicaeeeKama wewe ni bingwa wa kufuatilia majina ya watu hebu wafuatilie hawa akina VERONICA.
Simu ilizingua Shem ila nakumisigi sana ujueShemeji sio kwa kupotea huko
Nakumiss pia shemeji. Salamu zangu unapataga?Simu ilizingua Shem ila nakumisigi sana ujue
Kwakweli nazipataga sana tu tena nashukuru kwakuwa unanikumbuka aisee....Nakumiss pia shemeji. Salamu zangu unapataga?
Jacob alifaidi sana, lakini siku zote kizuri hakidumu muda mrefu, Raheli alifariki baada tu ya kujifungua mtoto wake wa pili.Huyu Raheli wa Jacob itakuwa alikuwa mrembo haswaaa. Miaka 14, si mchezo.
Nafikiri ni jina lakoKama wewe ni bingwa wa kufuatilia majina ya watu hebu wafuatilie hawa akina VERONICA.
Karibu pmTusioitwa kina raheli tunakomenti wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jacob alifaidi sana, lakini siku zote kizuri hakidumu muda mrefu, Raheli alifariki baada tu ya kujifungua mtoto wake wa pili.
Ukiwa na kina unique raha sana.
Comsi comsa!Ooh so bad sikujua hili. It pains.....
How are things by the way....
Comsi comsa!
AsanteeKaribu pm