Hili jina mbwa weee!

Jonogomero

Member
Joined
Feb 8, 2012
Posts
99
Reaction score
27
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha leo tena cloudz, hoja ilikuwa kwa nn wazazi wanapenda kuita watoto zao mbwa! Mbaya zaidi kibongo bongo kila mtu labda ameshawahi kuitwa mbwa na mzazi. Je ni haki kumuita mtoto mbwa?
 
Hapo hakuna malezi...hawamjui Mungu ndo maana wanatumia maneno yasiyo na upako....
 
Sio haki kuitwa mbwa, na unaeza kumshtaki huyo aliekuita hvo hata kama ni mzazi wako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…