Gabrieli lucas Member Joined Nov 22, 2017 Posts 37 Reaction score 16 May 14, 2018 #1 Hv jaman ukipata jipu afu ukatumia dawa kulikausha linaweza kujirudia tena kama ile nyumba take haijatoka
Hv jaman ukipata jipu afu ukatumia dawa kulikausha linaweza kujirudia tena kama ile nyumba take haijatoka
N Nainyo Senior Member Joined Mar 28, 2018 Posts 102 Reaction score 77 May 14, 2018 #2 Dawa ya jipu ni kulitumbua. Kama umekunywa dawa ya kulikausha tayari umeshawauwa hao bacteria hawawezi tena kurudi.
Dawa ya jipu ni kulitumbua. Kama umekunywa dawa ya kulikausha tayari umeshawauwa hao bacteria hawawezi tena kurudi.