Hili joto la msimu huu hatari sana

Hili joto la msimu huu hatari sana

mansolata

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
502
Reaction score
318
Si hasubuhi, si mchana, si jioni, si usiku -- ni joto, joto, joto.

Heshima ya jambo imeshuka kwa kasi majumbani, uh.

Viyoyozi havina msaada kamwe.

Mafundi Feni ndo wanapiga pesa msimu huyu.
 
Hata waauza maji na vinywaji baridi, huu ndiyo msimu wao kupiga pesa...
 
H
ivi nina mpango wa kununua Air cooler itasaidia kweli maana feni mizinguo.
 
Back
Top Bottom