Hili JUA sasa linafanya sifa...

Joined
Apr 26, 2016
Posts
64
Reaction score
25
Kwa nini mimi sipendi jua b'ze, huwa nalichukia sana jua pindi linapowaka hii ina maana linanikosesha biashara yangu ya MIAVULI kuuza, kwani week hii biashara ilikuwa mzuri kwa siku nauza miavuli 100 nawapa wamachinga wananiuzia na kupata faida tele kwa tele. Jua nenda zako Bwanaaaaaa.
 
Ishu ya cheti fake ume solve!
 
huku tunamuomba Mungu tulione wewe unalikataa ok.

swissme
 
Mbona miamvuli inatumika pia hadi juani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…