Hili kombe la TPL lipo Kama kinu (hovyo)

Hili kombe la TPL lipo Kama kinu (hovyo)

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,654
Naangalia hili kombe ambalo wanakabidhiwa simba Leo uhakika ni Kama kinu, hakuna ubunifu wala halileti mvuto kulitizama
Hili kombe kwa wahenga wenzangu mtakumbuka yalitumika miaka ya 80 kurudi nyuma

Kwaharaka haraka gharama ya kuunda au kutengeneza kombe sidhani km inazidi milioni kumi

Tff hii inazidiwa na fat ya mzee ndolanga
Tff hii inaendeshwa kimjini mjini sana wamejaa wazee wa 10 parcent pale karume
 
Ushafungwa mbili hadi sasa!! Nasubiri mzee wa kuwalisha matangopori aje awape neno ...!! Ila yule mzee ni muongo kwakweli
 
Nimemuona Karia pale,aisee amekuwa na tumbo sio mchezo
 
Wacha porojo kijana,weka picha hapa tulione hilo kombe sasa unadhani kila mtu anaangalia TV alione au unategemea tuseme nini
 
Back
Top Bottom