Miezi mi tatu
Ndani ya masaa manne tu unaanza kuharaaa mbaya chalii yangu.
Mulugo type. Duh yaani unaulizwa kingine na una jibu kingine.Inategemea na aina ya ukimwi. Ule wa sauz ni ndani ya wiki mbili tu unaanza kuharisha
Mulugo type. Duh yaani unaulizwa kingine na una jibu kingine.
Ni muda gan tokea kuambukizwa virus vya ukimwi mgonjwa anaweza kupimwa na kugundurika???
kuna vitoto vinazaliwa nao mpaka vinabalehe bado vina nguvu, ukimwi haupimwi kwa macho
Ni muda gan tokea kuambukizwa virus vya ukimwi mgonjwa anaweza kupimwa na kugundurika???