Hili kwapa,ni fashion au uchafu?

kiuno

Member
Joined
Jun 6, 2010
Posts
49
Reaction score
2

Nijuzeni jamani, hii style ya kuachia nywele za kwapa ni fashion au uchafu?kama ndio fashion imeingia niambieni ili na mimi nianze kufuga zangu,maana kama mnavyojua tunaiga maselebu
 
Mie hoi bin taabani na vazi la lady in green she looks artificially beautiful nimempenda kwa kweli anajua kuutunia vyema urembo wa "dukani"
 
......Watu mna macho kama darubini khaaaaaa!! Hivyo kuna nywele hapo au ni kwapa tu jeusi?Mie nadhani inabidi ashughulikie kulisafisha kwapa ili liwe safi kama alivyo usoni.
 
Pretty umewagusa watu na starehe zao Kuna wengine kwapa kama hilo ndio fantasi zao ,hufurahia kuliramba likiwa katika hali kama hiyo ,kuwachwa hivyo sio kwa bahati mbaya .
 
View attachment 15362
Nijuzeni jamani, hii style ya kuachia nywele za kwapa ni fashion au uchafu?kama ndio fashion imeingia niambieni ili na mimi nianze kufuga zangu,maana kama mnavyojua tunaiga maselebu
hahahaaaaa wivu mbaya jamani panda juu ukazibe,ili iweje sasa!!!
 
......Watu mna macho kama darubini khaaaaaa!! Hivyo kuna nywele hapo au ni kwapa tu jeusi?Mie nadhani inabidi ashughulikie kulisafisha kwapa ili liwe safi kama alivyo usoni.

Hapo hamna nywele ni weusi tu.
 
watu bwana!!! punguzeni umbea! kwani inawahuuuu!!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…