Hili kwenye mahusiano linakupa picha gani?

Sio kwa wapenzi tuu bali kwa watu wote in general. Kama unaongea na mtu kwenye simu nafikiri ni vizuri ukamaliza nae kwanza badala ya ku-hold hold kila wakati ili uongee na mtu mwingine. Kama unaongea na watoto wadogo sawa inaweza eleweka lakini na watu wazima ni bora useme tuu utampigia au akupigie baada ya muda fulani. It is all about manners. Mara nyingi watu hawa ndio unawakuta wanaongea kwenye simu huku waki-drive.
 


EMT hapo sasa unatusema wengine bana
Japo huwa siuzi chai ila kwa hapo umetugussa mkuu
 
Reactions: EMT
EMT hapo sasa unatusema wengine bana
Japo huwa siuzi chai ila kwa hapo umetugussa mkuu

But ukweli ndio Mkuu unless huyu jamaa anakula kwako




Au unataka haya yakukute.

 
EMT hayo siyataki kabisa yanikute na wala siyataki kabisa
Ila kwenye kuongea na simu wakati niko kwenye driving hiyo ipo sana mkuu
 
kama unataka upige simu upewe full attention piga simu kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi.

La unapopiga simu mchana jua mtu yupo kwenhe mihangaiko, uvumilie. Aache kusaka pesa kwa ajili ya simu? Au asipokee simu?
 
EMT hayo siyataki kabisa yanikute na wala siyataki kabisa
Ila kwenye kuongea na simu wakati niko kwenye driving hiyo ipo sana mkuu

Kuwa makini then. Kuendesha huku ukiwa unaongea kwenye simu uliyoishikilia mkononi ni hatari kwako wewe na pia kwa watumiaji wengine wa barabara. Mkuu huwa una access JF kucheki PMs pia wakati unaendesha? 🙂
 


Genuinely sipendi kuongea na mtu huku ana drive.... I can not stand it kabisaa....
 
Simple Kama inakubore unakata cm unaendelea na mambo yako Kama anakujali atakupigia! Usipende kukomplicate vitu vidogo!
 
Nawashukuru sana kwa michango yunu, mungu awabariki
 
Duh, pole mkuu, ukweli leo nimejifunza kitu, niwe mkweli hata mimi nimiongoni mwa watu kama hao

Yani nikipigiwa sim ninatabia ya ku msubirisha mtu kwenye line then naongea na mwingine hee kumbe inaudhi eeh,
Ila mimi hua si dharau ila najikuta nataka niwaridhishe wote ninao ongea nao.
 
kama unataka upige simu upewe full attention piga simu kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi.

La unapopiga simu mchana jua mtu yupo kwenhe mihangaiko, uvumilie. Aache kusaka pesa kwa ajili ya simu? Au asipokee simu?

Au unakuta mtu anakupigia sim na anajua uko officini, mfnyakazi mwenzako anakuuliza issue ya kikazi kweli usimjibu, mmh hapana inategemea na uzito wa maongezi bwana.
 
Aisee hako katabia huwa sikapendi na hunikera sana.
 
Kama ataanza kuongea umbea ama uzushi mi nipo hewani, nakata cm, kuna wakati mwingie anatoa maagizo we mwenyewe ingekuwa wewe ungefanya, mf kumkubalia mtu achukue document kwa kumwambia' ndo hizo chukua' thn tunaendelea sion km ni ishu sn
 

Mtu mzima akitobowa ujuwe yamempata!
Huwa nafanyiwa na mama watoto wangu na kuumiza zaidi tuko mbali mbali kwani niko nje ya nchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…