Mbobo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 1,392
- 1,818
ππππππ πππ ππππ ππππ πππππππ
[emoji404]Kwa akili ya haraka haraka tu!! Team imeshinda mechi mbili za kimataifa na kufuzu hatua inayofuata lkn hawakupewa hata senti kumi ya MOTISHA!!!
[emoji404]Ndo waje wapewe MOTISHA milioni 10 kwenye league tena mechi waliotoka sare!!!
[emoji404]Biashara United wametoa wapi hiyo hela!! Kwa nn wasingewapa wachezaji motisha kwa kushinda mechi za kimataifa waje wapewe kwenye league!!
[emoji404]Team almanusura ishindwe kusafiri kwenda Djibouti [emoji1089] kwa ajili ya mechi sababu ya UKATA na kuja kufanikiwa kusafiri siku ya mechi baada ya kuhangaika sana!!!
[emoji404]Leo hii et anatoka mtu anasema anatoa MOTISHA million 10!! Alikuwa wapi hapo awali!!
[emoji404]Na bado michezo yote Simba SC Tanzania watakayocheza ya TPL basi timu pinzani watapata Bonus Endapo watabahatika kupata Sare... au kushinda.... hii ishaeleweka na nawajuza tu mashabiki ambao mulikuwa hamujui...
[emoji404]Simba wapo ktk vita nzito ili kutetea ubingwa wake na wanatakiwa kuelewa ivyo... na sina shaka na uongozi wa Simba chini ya Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Try Again nadhani washalijua hilo......
kwenu studio[emoji2223][emoji2223][emoji2089]
#Dibahvansports
copy and paste