Hili la Bodi ya mkopo wa elimu ya juu SMT na SMZ

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Nimeliona hili ktk taarifa ya habari sijalielewa vizuri . Yaan mwanafunzi mzanzibar anaweza kukopa heslb ya bara ila.mbara hawezi kuomba mkopo kwa bodi ya elimu ya juu zanzibar ...huu ni muungano au mfarakano ?
 
Muungano wa ajabu huu
 
Naamini habari uliyoiona kwenye TV ndio imekuamsha
 
Nimeliona hili ktk taarifa ya habari sijalielewa vizuri . Yaan mwanafunzi mzanzibar anaweza kukopa heslb ya bara ila.mbara hawezi kuomba mkopo kwa bodi ya elimu ya juu zanzibar ...huu ni muungano au mfarakano ?
#JMTKaziIendelee
 
Aisee mm sijaelewa kabisa yaan wenzetu wana fursa ya kunufaika na bodi mbili ..how about Us ? We from the mainland
Mkuu Nadhani Tafsiri ya serikali 2.. Ni serikali ya pamoja.. Na serikali ya Zanzibar... Hatuna serikali ya Bara.. Wala pesa za bara peke yake
 
Nimeliona hili ktk taarifa ya habari sijalielewa vizuri . Yaan mwanafunzi mzanzibar anaweza kukopa heslb ya bara ila.mbara hawezi kuomba mkopo kwa bodi ya elimu ya juu zanzibar ...huu ni muungano au mfarakano ?
Ni sawa na raia wa Zanzibar kuwa Rais bara,na raia wa Bara hawezi kuwa Rais Zanzibar
 
Tulieni sindano iwaingie vizuri. Zinanunuliwa meli 8 za uvuvi bahari kuu Zanzibar 4 Tanzania 4, Zanzibar wakivua samaki mapato ni ya kwao na Tanzania ikivua samaki mapato asilimia kadhaa ni kwa Zanzibar kama mgao wao wa faida.
 
TBC1 jana.
Ngoja tuone mwisho wa haya yote
 
Tulieni sindano iwaingie vizuri. Zinanunuliwa meli 8 za uvuvi bahari kuu Zanzibar 4 Tanzania 4, Zanzibar wakivua samaki mapato ni ya kwao na Tanzania ikivua samaki mapato asilimia kadhaa ni kwa Zanzibar kama mgao wao wa faida.
Huuu muungano wa kitapeli sana.
 
Watu wanapolilia katiba mpya wana maana kubwa ingawa Ccm hawaelewi, katiba hii ina mianya mingi ambayo inaweza kumfanya Rais afanye atakayo na pia ina kasoro nyingi upande wa Muungano n.k.
Haya sasa muacheni mama afanye atakayo kuhusu Zenji.
 
Nimeliona hili ktk taarifa ya habari sijalielewa vizuri . Yaan mwanafunzi mzanzibar anaweza kukopa heslb ya bara ila.mbara hawezi kuomba mkopo kwa bodi ya elimu ya juu zanzibar ...huu ni muungano au mfarakano ?
Mwenzako akitaka mtegane ukang'ang'ania ndoa, lazima ulipie. Ndivyo ilivyo
 
Ni sawa na raia wa Zanzibar kuwa Rais bara,na raia wa Bara hawezi kuwa Rais Zanzibar
Yaan simple tu mtu anaweza toka zanzibar akaja bara akamikiki maeneo mashamba n.k lkn sidhan kama mbara anaweza kwenda kununua plot kisiwan ...
 
Back
Top Bottom