luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Muungano wa ajabu huuNimeliona hili ktk taarifa ya habari sijalielewa vizuri . Yaan mwanafunzi mzanzibar anaweza kukopa heslb ya bara ila.mbara hawezi kuomba mkopo kwa bodi ya elimu ya juu zanzibar ...huu ni muungano au mfarakano ?
Aisee mm sijaelewa kabisa yaan wenzetu wana fursa ya kunufaika na bodi mbili ..how about Us ? We from the mainlandMuungano wa ajabu huu
Yote yamesababishwa na muundo wa muungano uliopoAisee mm sijaelewa kabisa yaan wenzetu wana fursa ya kunufaika na bodi mbili ..how about Us ? We from the mainland
#JMTKaziIendeleeNimeliona hili ktk taarifa ya habari sijalielewa vizuri . Yaan mwanafunzi mzanzibar anaweza kukopa heslb ya bara ila.mbara hawezi kuomba mkopo kwa bodi ya elimu ya juu zanzibar ...huu ni muungano au mfarakano ?
Mkuu Nadhani Tafsiri ya serikali 2.. Ni serikali ya pamoja.. Na serikali ya Zanzibar... Hatuna serikali ya Bara.. Wala pesa za bara peke yakeAisee mm sijaelewa kabisa yaan wenzetu wana fursa ya kunufaika na bodi mbili ..how about Us ? We from the mainland
Ni sawa na raia wa Zanzibar kuwa Rais bara,na raia wa Bara hawezi kuwa Rais ZanzibarNimeliona hili ktk taarifa ya habari sijalielewa vizuri . Yaan mwanafunzi mzanzibar anaweza kukopa heslb ya bara ila.mbara hawezi kuomba mkopo kwa bodi ya elimu ya juu zanzibar ...huu ni muungano au mfarakano ?
TBC1 jana.Nimeliona hili ktk taarifa ya habari sijalielewa vizuri . Yaan mwanafunzi mzanzibar anaweza kukopa heslb ya bara ila.mbara hawezi kuomba mkopo kwa bodi ya elimu ya juu zanzibar ...huu ni muungano au mfarakano ?
Huuu muungano wa kitapeli sana.Tulieni sindano iwaingie vizuri. Zinanunuliwa meli 8 za uvuvi bahari kuu Zanzibar 4 Tanzania 4, Zanzibar wakivua samaki mapato ni ya kwao na Tanzania ikivua samaki mapato asilimia kadhaa ni kwa Zanzibar kama mgao wao wa faida.
Mwenzako akitaka mtegane ukang'ang'ania ndoa, lazima ulipie. Ndivyo ilivyoNimeliona hili ktk taarifa ya habari sijalielewa vizuri . Yaan mwanafunzi mzanzibar anaweza kukopa heslb ya bara ila.mbara hawezi kuomba mkopo kwa bodi ya elimu ya juu zanzibar ...huu ni muungano au mfarakano ?
Yaan simple tu mtu anaweza toka zanzibar akaja bara akamikiki maeneo mashamba n.k lkn sidhan kama mbara anaweza kwenda kununua plot kisiwan ...Ni sawa na raia wa Zanzibar kuwa Rais bara,na raia wa Bara hawezi kuwa Rais Zanzibar