ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Comoros na Misri wamepanga mipango wabebaneNakumbuka miaka michache nyuma ilikuja timu ya Comoro hapa ikabezwa sana na tukaelezwa ile nchi haina hata Ligi..
Sasa nimesikia inchi hii imecheza na misti jana na kutoka Sare
Haya ni maajabu,Nini siri ya hawa wangazija?
Misri hii iliyotoa sare nyumbani kwao dhidi ya Kenya? Misri hii wamekuwa wakawaida sana.Nakumbuka miaka michache nyuma ilikuja timu ya Comoro hapa ikabezwa sana na tukaelezwa ile nchi haina hata Ligi..
Sasa nimesikia inchi hii imecheza na misti jana na kutoka Sare
Haya ni maajabu,Nini siri ya hawa wangazija?
Au wana mamluki?Na Comorro anaongoza kundi baada ya mexhi 2
Au wana mamluki?
wamwazime Kagereeeee.Misri wana mgomo
nae katobolewa kimokowamwazime Kagereeeee.
Nakumbuka miaka michache nyuma ilikuja timu ya Comoro hapa ikabezwa sana na tukaelezwa ile nchi haina hata Ligi..
Sasa nimesikia inchi hii imecheza na misti jana na kutoka Sare
Haya ni maajabu,Nini siri ya hawa wangazija?
Hivi Kagere alifunga goal kwenye timu ya Taifa?wamwazime Kagereeeee.
Angola yenyewe mbona tia maji tia maji.. mchezaji gani wa Taifa stars anacheza ligi ya Angola. Mimi nimegundua kuna uhusiano wa uchumi na michezo, nchi za maeneo uliyo taja zimepiga hatua sana kiuchumi miaka ya karibuni.Soka ukanda wa COSAFA na CECAFA linakua kwa kasi kubwa sana hasa kutokana na uimara wa ligi ya South Africa na Angola zinachukua wachezaji wengi sana wa nchi hizo pamoja na Tanzania tukiwemo.
Aaaaaahhhhh wapi.Hivi Kagere alifunga goal kwenye timu ya Taifa?