Hili la Comoro Kutoka Suluhu na Misri

Angola yenyewe mbona tia maji tia maji.. mchezaji gani wa Taifa stars anacheza ligi ya Angola. Mimi nimegundua kuna uhusiano wa uchumi na michezo, nchi za maeneo uliyo taja zimepiga hatua sana kiuchumi miaka ya karibuni.
Nikweli nijitahada ya serekali ya awamu ya tano
 
Komoro wameanza kufanya maajabu toka afcon qualifications ya msimu uliopita walipowatoa jasho Morocco kwenye uwanja wao pale casablanca
 
Tanzania inawachezaji kutoka Zambia, sikumaanisha kuwa Watanzania wanacheza Angola, lakini ligi yake inawachezaji wengi pia wanaotoka katika mataifa ya COSAFA.

Angola yenyewe mbona tia maji tia maji.. mchezaji gani wa Taifa stars anacheza ligi ya Angola. Mimi nimegundua kuna uhusiano wa uchumi na michezo, nchi za maeneo uliyo taja zimepiga hatua sana kiuchumi miaka ya karibuni.
 
Mbona USA anauchumi mkubwa lakini kisoka ni tia maji tia maji ?
Angola yenyewe mbona tia maji tia maji.. mchezaji gani wa Taifa stars anacheza ligi ya Angola. Mimi nimegundua kuna uhusiano wa uchumi na michezo, nchi za maeneo uliyo taja zimepiga hatua sana kiuchumi miaka ya karibuni.
 
Hvi hwa comoro si ndo wale kikwete alipeleka wajeda kwenda kuwasaidia au syo
 
Nakumbuka miaka michache nyuma ilikuja timu ya Comoro hapa ikabezwa sana na tukaelezwa ile nchi haina hata Ligi..
Sasa nimesikia inchi hii imecheza na misti jana na kutoka Sare
Haya ni maajabu,Nini siri ya hawa wangazija?
Kwa nini husemi misrí ieshuka kiwango?
Inadroo na kenya misri? Hata MK254 kashtuka.
 
Nakumbuka miaka michache nyuma ilikuja timu ya Comoro hapa ikabezwa sana na tukaelezwa ile nchi haina hata Ligi..
Sasa nimesikia inchi hii imecheza na misti jana na kutoka Sare
Haya ni maajabu,Nini siri ya hawa wangazija?
Siri ni kupambana tu
 
Hapo ndio utamu wa soka unazidi kunoga na ugumu wa betting Unapoongezeka.

Ni mambo ya kawaida kabisa kwenye game.
 
Mkuu,

kwanza unatakiwa kujua kuwa Comoro ni mjumuiko wa visiwa vitatu kama sitakosea, Yaani comoro, ngazija na mayotte '' ambacho kipo chini ya ufaransa''.

Wale wanaokujaga kucheza michuano huku walikuwa wanatokea ngazija na comoro bila kushirikisha mayotte ambayo ni sehemu ya ufaransa.

Kuanzia misimu miwili uliopita visiwa vyote vitatu vimeungana na kutengeneza team moja ya taifa, yaani mayotte, ngazija na comoro.

Kwakuwa mayotte ipo chini ya ufaransa basi wachezaji wake wengi sana wanashiriki ligi mbalimbali za ufaransa za madaraja ya chini na baadhi ligi kuu ya ufaransa na wamelelewa katika misingi mizuri ya kimichezo.

Nakumbuka mechi yao ya kwanza kufanya maajabu ilikuwa dhidi ya Ghana walipotoka sare ya bila kufungana nadhani ilikuwa kufuzu afcon, baada ya hapo wakacheza na cameroon na kutoa nao sare ya goli 1-1 tena cameroon wakisawazisha dakika za lala salama, mechi nyingine ni dhidi ya moroco walitoa upinzani mkubwa sana japo walifungwa 1-3 kama sitokosea.

Baada ya hapo ni maajabu ambayo wameyafanya juzi kwa kumpiga togo kwake na kutoa sare na misri, akikomaa kuna uwezekano mkubwa sana wa kushiriki afcon 2021.

Wana wachezaji wengi sana wanaocheza nje, mara ya mwisho naangalia kwenye team yao kulikuwa na mchezaji mmoja tu anaecheza ligi ya africa na hawakuwa na mchezaji hata mmoja ambae anacheza comoro.

Kuna mchezaji wao anacheza Redstar belgade ambayo inacheza uefa champions league.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…