Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Nikiwa ndo kwanza nimemaliza darasa la saba miaka ya mwanzoni mwa 90, kuna binti nilimvusha binti ambaye siku hiyo nilikusudia kutumia condom kwa mara ya kwanza. Kwanza sikuwa nafahamu kwa nini niliamua kutumia condom kwa siku hiyo.
Baada ya binti kuzama chumbani mi nikachukua condom nikaenda kuivalia bafuni.,.kumbuka nilikuwa naishi kijijini hivyo bafu lilikuwa nje!!
Baada ya kuivaa, faster nikarudi chumbani kuja kula mzigo! Kipindi hicho nilikuwa kijana...nikipanda kushuka ni baada ya lisaa...cha ajabu niliposhuka ile condom ilikuwa imeshavuka na sikujua ilienda wapi...kimya kimya nikamsindikiza manzi wangu na hakuniambia chochote!!?
Hadi leo sifahamu ile condom ilivuka wakati gani au ilikuwa ni oversize!!? Leo nimekumbuka mbali sana...Nani aliwahi kukutana na kisanga kama changu kwenye minyanduano?!