hili la IFM litakuaje???

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,188
Reaction score
6,244
Habari wakuu.

Jamani naombeni ushauri. Hapa IFM saivi pana ishu ya watu waloshindwa kulipa ada katika muda uliopangwa ambao mwisho ilikua april 30 (hata mimi pia sijalipa) uongozi wa chuo umeamua kiandika barua kwa kila mmoja kumueleza kuwa, kwa vile mtu ameshindwa kulipa ada katika muda uliotakiwa basi meanafunzi huyo atakua deregistered, na hatakiwi kufanya mitihani wala kuhudhutia vipindi na wala kutumia facility yoyote apo chuoni. Mwanafunzi akilazimisha kufanya mitihani basi mwanafunzi huyo mitihani yake itakua null, haitoshughulikiwa.

Ndugu ukitizama idadi ya watu waliokuwa hawajalipa ni kubwa sana. Hizo barua zilizotoka unatakiwa utie saini ili kuthibitisha kama umekubali ufukuzo huo!
 
Mwanafunzi utalazimishaje kufanya mitihani na wewe sio registered? Kama hujalipa ada wewe sio mwanafunzi period. Huwezi kupanda DALADALA kama huna nauli!!!
 
...wanafunzi wa kisasa kwanini hamna solidarity....
Mtachezewa sana...
Huko UDOM nako wanalialia tu...
 
dawa ya deni kulipa tu!!!! acheni blaa blaa!!

mbona kwenye dala2 kama nauli huna..si unapigwa chini na konda??

lipa ada usome!!
 
kunawatu wanasema dawa ya deni ni kulipa...siwapng kwan kila mtu anamtazamo wake...hivi hapo wote wanaosoma si watu wazma? Si wanajua umuhmu wa hyo elim kwa maisha yao? Ni nan sasa atakaekuwa nayo mfukoni agome kulipa?

Kama hana atoe wap? Elimu haihtaj...? Kunavyuo vngne vnautaratbu wa mtu kuandka barua wik mbli kabla ya mitihan halaf unaruhusiwa kuja kufanya mtihan maalum [special exam] hapo baadae. Sasa hawa wanawafukuza...wangap watarud mtaan? Na madhara yake ni yap?.. Ni mawazo tu
 

huwez panda basi bila naul!, so lipa ada usome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…