Jaji Mkuu aliteleza ? Wakati wa uzinduzi wa jengo la Mahakama ya mashauri kuhusu unyanyaswaji wa watoto huko Mahonda - Zanzibar jana ulioongozwa na Rais wa Zanzibat Bw Mohamed Shein, Jaji Mkuu alitoa maelezo yafuatayo:
Kwamba "jengo hili la kisasa limejengwa kwa muundo utakao watenganisha walalamikaji na washtakiwa, na akasema kwa muundio huu, mlalamikiwa ataweza kumwona mtoto (ambaye ni mlalamikaji), lakini mtoto (mlalamikaji) hatawexa kumwona mlalmikiwa."
Bila shaka kwa utaratbu huu kuna maelezo yenye tafsiri tofauti yakiwemo usalama, na athari za kisaikoljia.
Hata hivyo katika mazingira ya kawaida kwa baadhi ya watu (pasipo ufafanuzi wa kisheria) dhana hii inajenga hisia kwamba mbadala wake ndio utakuwa muafaka zaidi, yaani mlalamikaji amwone mstakiwa, ila mlalamikiwa asimwone mlalamikaji, au Jaji Mkuu Zanzibar aliteleza katika hili?