GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kauli ya Mlinzi kuwa Marehemu Joe alimwomba aende Msikitini Kuswali imenichanganya. Hivi kumbe akina Joel ( Joe ) huwa ni Waislamu?
Kauli ya Mkewe kuwa Mumewe aliwahi kumwambia anataka Kuongeza Mke wa Pili na akamkatalia ndipo Mzozo ulipoanza ndiyo imenichanganya zaidi. Hivi kumbe Siku hizi Wakristo nao wanaruhusiwa Kuoa Wake Wawili na kuendelea Kama Waislamu?
Kuna moja hiyo ya ndani kabisa nimeisikia / nimeinyaka kutoka kwa Mmoja wa Watu wa Karibu ila ngoja nibaki nayo tu Moyoni huku nikimtakia Marehemu Joel ( Joe ) alale mahala pema Peponi.
Yanga SC inashinda Jumapili tarehe 28 May, 2023 na hata Mechi yake ya marudiano Jumamosi ijayo ya tarehe 3 June, 2023 pia Watashinda na kuwa Mabingwa wapya na kwa mara ya Kwanza kwa Tanzania katika Kombe la CAFCC.
Watu wakilitaka lao linakuwa tu Oky?