Hili la kodi kwa wapangaji TRA wameupiga mwingi

Hili la kodi kwa wapangaji TRA wameupiga mwingi

Sultani Makenga

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
621
Reaction score
1,039
dodoma_zone_~p~ChtZPeQqzFM~1.jpg

Hakika ukusanyaji wa mapato utaongezeka kwa maendeleo ya nchi yetu. Hongereni TRA kwa kuliona hili, hongera mama yetu Samia Suluhu Hassan.

TRA iangalie maeneo mengine na kupanua zaidi wigo wa kodi. Kodi ndio maendeleo ya nchi.

Kazi iendelee.
 
Vyumba vitapanda bei

Ngoja niulize kodi ya pango au makazi inayokatwa kupitia luku nani yupo nyuma yake
It means kuishi kwa mtu unalipa kwa mweye nyumba na bado unalipia kuishi nchini mwako

Bado tu hujastuka kuwa tumeuzwa[emoji23]
 
Back
Top Bottom