Sultani Makenga JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 621 Reaction score 1,039 Aug 26, 2022 #1 Hakika ukusanyaji wa mapato utaongezeka kwa maendeleo ya nchi yetu. Hongereni TRA kwa kuliona hili, hongera mama yetu Samia Suluhu Hassan. TRA iangalie maeneo mengine na kupanua zaidi wigo wa kodi. Kodi ndio maendeleo ya nchi. Kazi iendelee.
Hakika ukusanyaji wa mapato utaongezeka kwa maendeleo ya nchi yetu. Hongereni TRA kwa kuliona hili, hongera mama yetu Samia Suluhu Hassan. TRA iangalie maeneo mengine na kupanua zaidi wigo wa kodi. Kodi ndio maendeleo ya nchi. Kazi iendelee.
Tafuta Hela JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 1,546 Reaction score 2,983 Aug 26, 2022 #2 Vyumba vitapanda bei Ngoja niulize kodi ya pango au makazi inayokatwa kupitia luku nani yupo nyuma yake It means kuishi kwa mtu unalipa kwa mweye nyumba na bado unalipia kuishi nchini mwako Bado tu hujastuka kuwa tumeuzwa[emoji23]
Vyumba vitapanda bei Ngoja niulize kodi ya pango au makazi inayokatwa kupitia luku nani yupo nyuma yake It means kuishi kwa mtu unalipa kwa mweye nyumba na bado unalipia kuishi nchini mwako Bado tu hujastuka kuwa tumeuzwa[emoji23]