Hili la kuingiza wageni kuja kutuua kamwe halitosameheka

Mambo ya ndani ya nchi ya wenyewe kwa wenyewe.

Na wananchi hawatumii silaha za moto.

Kama ni kweli, jeshi la kukodi ni la nini?
 
Ni heri tungeendelea kuuliwa na ndugu zetu askari wa jeshi letua polisi au JWTZ .

Hakuna mgeni yeyote aliekuja kuua watu.. ni propaganda tu ili wasionekane wao ndio wauaji.. maana tunaishi nao mitaani.

Hivyo wametengeneza mbinu ya kujisafisha kusingizia wageni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…