Hili la kuliwa hela za Halmashauri halikuanza leo ndio kaburi la hela za mikopo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Na wala hakuna aliyewahi kukamatwa achilia mbali kufungwa , hili ndilo linawafanya viongozi wa ccm kulogana kugombea Vyeo kwenye matawi na kata , huwa wanalambishwa hizi heka hata kama ni kidogo kidogo , Chini ya uongozi wa ccm hakuna mwaka hawa wanaokula hela hizi watashitakiwa

Hili suala mikopo Kwa vikundi halmashauri si zilisitishwa na waziri mkuu hadi itakapopatikana namna nzuri ya kuendesha hili mikopo hivyo?
 
Wananchi wa Tanzania wamelala sana. Wanaona kama suala la ubadhirifu wa fedha za umma haliwahusu, wako bize na mijadala ya Simba na Yanga pamoja na umbea wa Nyalandu.

Mxiuuuuuu!! Bora ningezaliwa mbwa Ulaya.
Huwa naomba kila siku hili BLANKET vichwani mwa Watanganyika litoke..hakika MOTO utawaka
 
Wananchi wa Tanzania wamelala sana. Wanaona kama suala la ubadhirifu wa fedha za umma haliwahusu, wako bize na mijadala ya Simba na Yanga pamoja na umbea wa Nyalandu.

Mxiuuuuuu!! Bora ningezaliwa mbwa Ulaya.
Wewe una uraia wa wapi Burundi Si uonyeshe mfano ukawatandike bakora hao waliogawana hizo Billion kwenye vikundu hewa
 
Wananchi wa Tanzania wamelala sana. Wanaona kama suala la ubadhirifu wa fedha za umma haliwahusu, wako bize na mijadala ya Simba na Yanga pamoja na umbea wa Nyalandu.

Mxiuuuuuu!! Bora ningezaliwa mbwa Ulaya.
Ungezaliwa jike alafu mi dume nikupige Pipe. Wazungu wangekuita Manunu.
 
Nakumbuka speech za P.W. BOTHA kuhusu mtu mweusi (Africans)

Nakumbuka speech za DONALD TRUMP kuhusu mtu mweusi (Africans)

Alisema
"""IN MY OPINION I THINK AFRICAN CONTRIES SHOULD BE COLONIZED AGAIN FOR MORE THAN 100 YEARS""
 
Uwakute Sasa huko mikoani wanavyonyanyasa wafanyabiashara Wadogo kumbe majizi Makubwa. Nitashangaa Halmashauri za Mafinga, Mbozi, Nkasi na Sumbawanga zikikosekana kwenye risti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…