CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Wakuu.
Mimi kama mwanachama na shabiki wa Simba.
Leo hatimaye nimepata taarifa Rasmi kuwa Mshambuliaji kutoka Vipes ya Uganda Cesar Lobi Manzoki RASMI HAJASAJILIWA SIMBA NA HATA JIUNGA NA WEKUNDU HAO WA MSIMBAZI.
1. VIONGOZI KUWENI WAKWELI. WAWAZI.
Mmepambana sana kumtaka lakini ndio hivyo mmeshindwa Tena. AIBU YENU.
2. KILICHOTUNYIMA UBINGWA MSIMU ULIOPITA NI PAMOJA NA UBUTU WA SAFU YA USHAMBULIAJI.
SAFU ya USHAMBULIAJI ya sasa inapoteza nafasi nyingi sana. Na kukosa Magoli mengi ya wazi.
Makosa ya kisajili Bado yanaendelea kuwa mengi sana.
KILA LAKHEI MANZOKI NA TUMU YAKO YA VIPERS.