CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Ni aibu gani sasa kumkosa mchezaji mwenye mkataba na timu yake? Haujui kwamba ili mchezaji ajiunge na timu ni lazima awe huru bila ya kuwa na mkataba, iwe kwa kuuvunja uliopo au kumalizika? Kama timu inayommiliki haina mpango wa kuchukua fedha yoyote ya mauzo, aibu inakujaje kwa timu inayomuhitaji? Au unadhani Barcelona wakija na dola 5,000,000 (bilioni 11.5 za Tanzania) na Vipers wakazikataa, bado utasema aibu kwa Barcelona?1. VIONGOZI KUWENI WAKWELI. WAWAZI.
Mmepambana sana kumtaka lakini ndio hivyo mmeshindwa Tena. AIBU YENU.
Kwa hiyo hii imekaa kama ile ya Mayele alivyotakiwa na timu kule SA Yanga wakamzuia?.Ni aibu gani sasa kumkosa mchezaji mwenye mkataba na timu yake? Haujui kwamba ili mchezaji ajiunge na timu ni lazima awe huru bila ya kuwa na mkataba, iwe kwa kuuvunja uliopo au kumalizika? Kama timu inayommiliki haina mpango wa kuchukua fedha yoyote ya mauzo, aibu inakujaje kwa timu inayomuhitaji? Au unadhani Barcelona wakija na dola 5,000,000 (bilioni 11.5 za Tanzania) na Vipers wakazikataa, bado utasema aibu kwa Barcelona?
Yeah, hapo huwezi kusema ni aibu kwa Kaizer Chiefs! Lakini kwa kuwa na mchezaji amewekewa kauzibe, mkataba ukiisha tu anaondoka bila klabu yake kuambulia chochoteKwa hiyo hii imekaa kama ile ya Mayele alivyotakiwa na timu kule SA Yanga wakamzuia?.
Uyo manzoki mwenyewe mnaemshadadia sioni cha ajabu alichonacho, wahandishi uchwara wanampandisha chati aonekane ni bonge la mchezaji wakati ni mchezaji wa kawaida tu na ndio maana na vipers wameona waongeze dau lake kwakuwa ameongelewa sana na vyombo vya habari vikionyesha watu wanamuhitaji sana ivyo wakaona isiwe tabu wacha wapate pesa ya bure kwa mchezaji wa kawaidaWakuu.
Mimi kama mwanachama na shabiki wa Simba.
Leo hatimaye nimepata taarifa Rasmi kuwa Mshambuliaji kutoka Vipes ya Uganda Cesar Lobi Manzoki RASMI HAJASAJILIWA SIMBA NA HATA JIUNGA NA WEKUNDU HAO WA MSIMBAZI.
1. VIONGOZI KUWENI WAKWELI. WAWAZI.
Mmepambana sana kumtaka lakini ndio hivyo mmeshindwa Tena. AIBU YENU.
2. KILICHOTUNYIMA UBINGWA MSIMU ULIOPITA NI PAMOJA NA UBUTU WA SAFU YA USHAMBULIAJI.
SAFU ya USHAMBULIAJI ya sasa inapoteza nafasi nyingi sana. Na kukosa Magoli mengi ya wazi.
Makosa ya kisajili Bado yanaendelea kuwa mengi sana.
KILA LAKHEI MANZOKI NA TUMU YAKO YA VIPERS.
Unatoa shilingi ngapi kugharamia usajili?Sisi wala hatuna shida naye. Shida ni utopolo watakosa thread ya kuandika negativity zao maana kukiwa na uzi unaohusu manzoki wanajaa kama nzi kupinga ujio wake. Lakini kwa sisi ambao huyo manzoki hatuna habari naye hii sio habari.
Utopolo kazini. Unapata wapi za ndani km siyo uongo tu, wewe ni utopolo kwa mwandiko had maandishi yako.Wakuu.
Mimi kama mwanachama na shabiki wa Simba.
Leo hatimaye nimepata taarifa Rasmi kuwa Mshambuliaji kutoka Vipes ya Uganda Cesar Lobi Manzoki RASMI HAJASAJILIWA SIMBA NA HATA JIUNGA NA WEKUNDU HAO WA MSIMBAZI.
1. VIONGOZI KUWENI WAKWELI. WAWAZI.
Mmepambana sana kumtaka lakini ndio hivyo mmeshindwa Tena. AIBU YENU.
2. KILICHOTUNYIMA UBINGWA MSIMU ULIOPITA NI PAMOJA NA UBUTU WA SAFU YA USHAMBULIAJI.
SAFU ya USHAMBULIAJI ya sasa inapoteza nafasi nyingi sana. Na kukosa Magoli mengi ya wazi.
Makosa ya kisajili Bado yanaendelea kuwa mengi sana.
KILA LAKHEI MANZOKI NA TUMU YAKO YA VIPERS.
Chawa wa Yanga kaziniWakuu.

Ni aibu gani sasa kumkosa mchezaji mwenye mkataba na timu yake? Haujui kwamba ili mchezaji ajiunge na timu ni lazima awe huru bila ya kuwa na mkataba, iwe kwa kuuvunja uliopo au kumalizika? Kama timu inayommiliki haina mpango wa kuchukua fedha yoyote ya mauzo, aibu inakujaje kwa timu inayomuhitaji? Au unadhani Barcelona wakija na dola 5,000,000 (bilioni 11.5 za Tanzania) na Vipers wakazikataa, bado utasema aibu kwa Barcelona?
Ndo maana haunipi presha huo usajili. Niwaulize nyie mnaotaka asijiliwe kila siku ni manzoki manzoki mnatoa sh ngapi? Au swali lako unamaana gani...Unatoa shilingi ngapi kugharamia usajili?
😃😃 Umekimbiliaje kujibu kabla haujaelewaNdo maana haunipi presha huo usajili. Niwaulize nyie mnaotaka asijiliwe kila siku ni manzoki manzoki mnatoa sh ngapi? Au swali lako unamaana gani...