Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 220
watoto watatu waliozaliwa siku moja toka kwa mama mmojatriplets sijui kwa kiswahili
Neno sahihi ni Pacha Watatu.
Neno sahihi ni Pacha Watatu.
Si kila pair (jozi) lazima iwe katika uwili zipo jozi au pair zingine katika tatu na kuendelea. Neno pacha maana yake ni zaidi ya kimoja vyenye kufanana.ukisema pacha watatu kwa kiswahili halisi inamaanisha watoto sita, pacha ni pair moja, kwa hiyo pacha watatu ni idadi ya watu sita.
Si kila pair (jozi) lazima iwe katika uwili zipo jozi au pair zingine katika tatu na kuendelea. Neno pacha maana yake ni zaidi ya kimoja vyenye kufanana.
Soma habari hii hapa chini:
Bi Mariam ajifungua pacha watatu
Pichani ni Bi Mariam Rajab mkazi wa Mwanayamala 'A' Dar es Salaam, ni miongoni mwa akina dada waliojaaliwa watoto usiku wa tarehe 24/12/2008. Mariam amejifungua pacha watatu katika Hospitali ya Mwananyamala na yupo katika mtihani mzito wa juu ya kuwalea watoto hao watatu ambao mmoja kati yao ni wa kike...
first lady vipi tena mama!? naamini ulitaka kusema watoto watatu!nadhani kweli kuna kosa katika kusema mapacha watatu ilitakiwa iwe "Mwanafunzi ajifungua watoto watu ..sio mapacha watatu vile wote tunajua mapacha ni wawili tu
Twins n.Si kila pair (jozi) lazima iwe katika uwili zipo jozi au pair zingine katika tatu na kuendelea. Neno pacha maana yake ni zaidi ya kimoja vyenye kufanana.
Soma habari hii hapa chini:
Bi Mariam ajifungua pacha watatu
Pichani ni Bi Mariam Rajab mkazi wa Mwanayamala 'A' Dar es Salaam, ni miongoni mwa akina dada waliojaaliwa watoto usiku wa tarehe 24/12/2008. Mariam amejifungua pacha watatu katika Hospitali ya Mwananyamala na yupo katika mtihani mzito wa juu ya kuwalea watoto hao watatu ambao mmoja kati yao ni wa kike...
Twins n.
adj.
- One of two offspring born at the same birth.
- One of two identical or similar people, animals, or things; a counterpart.
- twins Mineralogy. Two interwoven crystals that are mirror images of each other.
- A twin-size bed.
- Being two or one of two offspring born at the same birth: twin sisters.
- Being two or one of two identical or similar people, animals, or things: twin cities; a twin bed.
- Botany. Of or relating to structures, such as flowers, that occur in pairs.
- Consisting of two identical or similar parts: a twin lamp fixture.
v., twinned, twin·ning, twins. v.intr.
v.tr.
- To give birth to twins.
- Archaic. To be one of twin offspring.
- To be paired or coupled.
Triplets n.
- To pair or couple.
- To provide a match or counterpart to.
- A group or set of three of one kind.
- One of three children born at one birth.
- A group of three lines of verse.
- Music. A group of three notes having the time value of two notes of the same kind. Also called tercet.
- Physics. A multiplet with three components.
- Genetics. A unit of three successive nucleotides in a molecule of DNA or RNA that codes for a specific amino acid; a codon or anticodon.
first lady vipi tena mama!? naamini ulitaka kusema watoto watatu!
Huyu mkuu alitakiwa apewe adhabu ya ban japo ya masaa.Watu wanasema kwenye kiingilishi huku hakuna shida,issue iko kwenye kiswaz,hao triplets kiswaz unawaitaje?Thats the question mkuu.
Basi mkuu angalia hii tovuti hapa chini utapata maana ya triplets:mkuu hapa tuanzungumzia kiswaili sanifu na si vinginevyo.
habari ya gzetini haiwezi kuwa ushahidi wa usahihi wa lugha kwan nayo hufanya makosa mengi sana ya lugha. ungetusaidia sana kama ungetumia reliable references kutetea hoja yako kuwa "mampacha si lazima wawe wawili"
je, umepita kwenye kamusi? inasemaje?