Fridah KapapaKuna mwimbaji yeyote wa nyimbo za gospel ambaye hayupo kibiashara nchi hii?
Nitajieni hata mmoja.
Kuna mwimbaji yeyote wa nyimbo za gospel ambaye hayupo kibiashara nchi hii?
Nitajieni hata mmoja.
mch.Abiud
Duuu! Jamani anatumia kipaji chake kumtukuza muumba wake na pia kumuwezesha kuishi unataka awe kibaka?
Unaweza kutueleza ni kwa nini TBC inarudia show za comedy ambazo zilishaoneshwa siku nyingi nyuma?Nani aliwadanganya mkataba wao na TBC umèfutwa?