Baba Wawili 2012
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 413
- 336
Ndugu JF Family,
Naomba mnisaidie, niko Mbeya kikazi japo pia ni nyumbani Gari la matangazo linapita katika maeneo yote ya mbeya na viunga vyake kutangaza ugawaji wa Viwanja vya Ujenzi eneo la Iyunga Nyuma Ya MUST(zamani MIST) KUWA kutakuwa na ugawaji wa viwanja huko na siku ya mwisho kuchukua fomu ni tarehe 20/09/2013/
Tatizo langu ni gharama inayotangazwa za kuchukua form....kila form ni Tsh 80,000/= non refundable.
swali? Binafsi hii garama ya form ni kubwa sana kwa ajili ya form tu>? Nani anapanaga hizi gharama za kuchukua form za viwanja? sheria inasemeje kuhusu kupanga garama ya viwanja?
na kuna msururu mkubwa sana wa kuchukua form hizo, hivi ni fair kwa mtu asipolizika na eneo akawa amepoteza pesa kubwa kiasi hicho kwa ajili ya form????
Kuhusu mipango ya jiji hiili la mbeya inashangaza sana....yaan inaonekana kila kitu kivyake vyake,,Pale stend kuu ya mabasi ya mkoani ada ya gar ndogo ukiingia na kutoka tu ni Tsh 1000/= OFCOURSE sijaona mantiki ya kodi hii ikiwa inashinda ile ya airport DSM ths 500 KWA NUSU SAA/////
Najua Halmashauri zina uwezo wa kuunda sheria ndogo ndogo....lakini ili tozo la Tsh 80,000 kwa form na 1000 kwa gari ndogo....naona halijafikiria wanyonge
i present