Hili la Mbowe kuibua kipaji cha Prof. Kitila Mkumbo lina ukweli?

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Wakuu, kama tulivyomsikia Mbowe akizungumza namna alivyoibua vipaji vya kisiasa , na miongoni mwa aliowataja kama matunda yake ni kitila Mkumbo wakati anasoma!

Kuna ukweli hapa? Mwenye kumbukumbu na history ya Pro. Mkumbo atupe mwanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…